Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
wapendwa
Ukiacha biashara nilizonazo nimeamua kujikita kwenye biashara ya kiti moto.
kwa wale wa Dar tujuzane inahitaji mtaji wa sh ngapi kuanzia.
Mahali pa biashara papo
fridge zipo
mizani ipo
Hasaa nahitaji kujua kiasi cha kuanzia hela zipo.
Nimejipanga kuwa na majiko ma 3 mpaka december mungu akipenda.
Mbarikiwe na majibu mazuri yanayokuja.

- sehemu za upatikanaji kirahisi namaanisha nikihitaji mda wowote napata.
- bei za unafuuu zaidi na je usafiri wanakuletea ama unafwata ama unalipia na usafiri.
Nimejipanga kuwa na majiko ma 3 mpaka december mungu akipenda.
Mbarikiwe na majibu mazuri yanayokuja.