Mpwa andaa milionwapendwa
Ukiacha biashara nilizonazo nimeamua kujikita kwenye biashara ya kiti moto.
kwa wale wa Dar tujuzane inahitaji mtaji wa sh ngapi kuanzia.
Mahali pa biashara papo
fridge zipo
mizani ipo
Hasaa nahitaji kujua kiasi cha kuanzia hela zipo.
kwa haya na mengineyo unayojua naomba usisite kunishauri mpendwa.
- sehemu za upatikanaji kirahisi namaanisha nikihitaji mda wowote napata.
- bei za unafuuu zaidi na je usafiri wanakuletea ama unafwata ama unalipia na usafiri.
Nimejipanga kuwa na majiko ma 3 mpaka december mungu akipenda.
Mbarikiwe na majibu mazuri yanayokuja.
Poa, ukifika hapo huenda wakakupa details za kukusaidia kwenye mipango yako.Ntakucheki nije kuangalia mpwaa
Salam kwako mzee wa kilinge umepotea sanaMpwa andaa milion
Mkuu hatimae sasa umefanikiwa kutaka kuingia kwenye Biashara nzuri yenye maslahi mazuri kabisawapendwa