Edson Zephania JF-Expert Member Joined Apr 8, 2011 Posts 517 Reaction score 112 Nov 30, 2012 #1 naomba kujua mahali kilipo chuo hiki kilipo kwa hapa tanzania, au mwenye website yao naomba anipatie plizz asanteni...............
naomba kujua mahali kilipo chuo hiki kilipo kwa hapa tanzania, au mwenye website yao naomba anipatie plizz asanteni...............
Makbel JF-Expert Member Joined Aug 14, 2011 Posts 774 Reaction score 167 Nov 30, 2012 #2 Google hilo jina utapata kila kitu.
K kiparah JF-Expert Member Joined Sep 7, 2010 Posts 1,173 Reaction score 117 Nov 30, 2012 #3 We mchokozi sana enheee!
SN.BARRY JF-Expert Member Joined Oct 12, 2012 Posts 4,038 Reaction score 8,929 Nov 30, 2012 #4 hawana chuo, ila huwa wanaandaa mafunzo ya muda mafupi mara kwa mara pale hq kwao
MAKOSHNELI JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 932 Reaction score 1,569 Nov 30, 2012 #5 edson zephania said: naomba kujua mahali kilipo chuo hiki kilipo kwa hapa tanzania, au mwenye website yao naomba anipatie plizz asanteni............... Click to expand... kipo kinondoni kituo cha manyanya nyuma ya hiyo hospital ya kinondoni,
edson zephania said: naomba kujua mahali kilipo chuo hiki kilipo kwa hapa tanzania, au mwenye website yao naomba anipatie plizz asanteni............... Click to expand... kipo kinondoni kituo cha manyanya nyuma ya hiyo hospital ya kinondoni,
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 18,813 Reaction score 21,830 Nov 30, 2012 #6 Hiki ni chuo au wa wakala wa serikali?nawajua wapo karibu na Kinondoni mahakamani,unaingilia pale kinondoni Hospitali
Hiki ni chuo au wa wakala wa serikali?nawajua wapo karibu na Kinondoni mahakamani,unaingilia pale kinondoni Hospitali
Edson Zephania JF-Expert Member Joined Apr 8, 2011 Posts 517 Reaction score 112 Dec 9, 2012 Thread starter #7 Nashukuru sana wadau kwa msaada wenu, nimeshawapata hawa jamaa