Mwenye kujua chuo/vyuo vya nje vyenye matawi nchini

island

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
1,065
Reaction score
835
hellow guys ... kwa yeyote mweenye kujua chuo/vyuo vya nje (international university) vyenye reputation(jina zuri) ambavyo undergraduate anaweza kusoma akiwa hapa hapa nchini ..., naomba kama unaweza nitajie jina na wap ntaweza kukamilisha kila kitu
 
Kampala kipo Gongolamboto,Jomo Kenyata kipo Arusha
 
hellow guys ... kwa yeyote mweenye kujua chuo/vyuo vya nje (international university) vyenye reputation(jina zuri) ambavyo undergraduate anaweza kusoma akiwa hapa hapa nchini ..., naomba kama unaweza nitajie jina na wap ntaweza kukamilisha kila kitu

Dublin university kipo I.F.M
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…