Mwenye Kujua Dawa ya Kuangamiza Mende

Hahaaa kuna sehemu nilifika ukizima taa mende wanaruka sebureni kama kumbikumbi.
 
Mende wale wakubwa wa chooni. Dawa yao ni hii: Nunua vidinge 4 vile vya Ngao ya kuulia mbu, kisha changanya na maji ndoo moja. Kisha yamwage chooni. Mende kwisha habari yao.
ni kweli wanakufa ila after some time wanarudi. mimi kuna siku nilifua net nikamwaga hayo maji chooni looh nilishangaa sana kukuta mende wengi wamekufa. ila sa ivi wapo tena
 
MI Mende nawamalizaga kwa mafutataa Yaan hawayapendi kbs ukimpulizia kidog atakimbia Mpk atakufa mwenyew alafu Maeneo wanayopenda kukaa unapulizia hawatakanyaga
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
green leaf kiboko asikudanganye mtu mim nilizoa mende nusu ndoo had wajukuu wote kushney jaribu hautojuta
Kweli ni kiboko na tena wanapotea kw a muda mrefu sana nishawahi kuitumia nzr sana
 
kweli kaka unaijua ni kweli unamix na maziwa but its the best dawa ever....yssni wanmgeweza wangenipa umarketing Manager maana nimeelekeza watu kibao..nao wote wameprove kwamba ni the best
Maziwa ya fresh au
 
Japo ni post ya kitambo lakini nimegundua dawa mpya! Kwa bei nafuu mno na matokeo ni ya kushangaza
Nyunyiza chumvi kwenye nyufa na maeneo wanakopendelea kujificha, lakini hii ifanyike baada ya kufanya usafi na kutoa makorokoro yasiyo na faida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…