Mwenye kujua habari kuhusu Mercy Masika

Sa anauzuri gani huyo pua kama kiko, labda useme anaimba vizuri
 
Mmoja wa wana kwaya naemkubali sana,,ana aina flan ya uimbaji isiyofanana na wengi,ana saut nzur hata ukimtongoza akikataa unabak nanburidan moyon,,salute kwake popote alipo
 
1. Huyu Yesu ft Angel Bernard
2. Nikupendeze
3. Mwema
4. Mkono wa Bwana
5. shule yako
6. This life
7. Milele
8. Emmanuel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…