Kapyungu A
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 3,499
- 3,161
Kweli mkuuWanawake weusi ni wazuri sana .....sana tena sana...uzuri wao haudanganyi....
Mm namkubal Sana Angel Bernad.....1. Huyu Yesu ft Angel Bernard
2. Nikupendeze
3. Mwema
4. Mkono wa Bwana
5. shule yako
6. This life
7. Milele
8. Emmanuel
Me sijui kwa sasa hivi nampenda yupi zaidi kati yao, ila nawapenda sanaaaMm namkubal Sana Angel Bernad.....
Mind ina calm nikisikiliza nyimbo hizo
Kwahio kila mbunye unaionja ili update nzuri sioMimi uzuri wa Mwanamke huwa nautafsiri katika ' Mbunye ' yake tu na siyo Sura kwani kama ni Sura tu hata Kenge anayo.
Nimeamz kumjua katika Kundi lao..Me sijui kwa sasa hivi nampenda yupi zaidi kati yao, ila nawapenda sanaaa
Leo tangu nimeamka nausikiliza "KIU"Nimeamz kumjua katika Kundi lao..
Check list yangu.
1.eeh Roho.
2.Need to Raign.
3.Nisamehe.
4.kiu.
5.Salama. N otherz
She z the best kwa hiii era...
Yeah ...ipo vzuri sana.Leo tangu nimeamka nausikiliza "KIU"
Hapa sina mwaya. Umeusikiliza wimbo wa Angel -SiteketeiYeah ...ipo vzuri sana.
Unaweza kuwa na zile somgs za kuabudu zilizo tuliza za kiswahili...
Hapana, sijaufahamu bado...ngoja niutafute.Hapa sina mwaya. Umeusikiliza wimbo wa Angel -Siteketei
Tuacheni roho mbaya.... huyu dada ajaolewa