Mwenye kujua hii course, naomba maelezo ya kina

The ice breaker

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2023
Posts
880
Reaction score
1,985
Wakuu habari

Naomba kuuliza, Kuna hii kozi inaitwa Geographical information systems ( GIS) and remote sensing ..

Naomba kupewa details zaidi kuhusu hii kozi,

Kama nitakuwa interested, nikaisome, kuna short course inatolewa pale chuo Cha veta kipawa Kwa week 3
 

Ngoja waje.
 
Ni kozi nzuri sana Mkuu.
Kaisome kama uko interested. Binafsi naikubali sana na ninatafuta mahala inafundishwa, mara nyingi huwa napishana na ratiba za short course hiyo ikitolewa na baadhi ya vyuo kama UDSM.
 
Ni nzuri Sana mi nimeisoma SUA pale lakini kwa upande wa kilimo ni nzuri Sana niliipenda kwa kweri
 
Hii ni kozi ambayo ina application kwenye kila field. Kama una passion nayo utaipenda nenda kasome!
 
Wanaanza lini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…