Mwenye kujua hiki nini naomba unisaidie

Mwenye kujua hiki nini naomba unisaidie

Inawezekana una allergy na material zilizotengenezewa toilet tissue. Na kupata uhakika zaidi jaribu kutumia aina mbalimbali za toilet tissue.
 
Una minyoo. Nenda duka la dawa uwaambie wakupe dawa yoyote ya minyoo broad spectrum (inayoondoa minyoo aina yote). Ukiona baada ya wiki bado unawashwa basi uende hospitali.
 
wandugu mwenzenu naumwa kila nikitoka chooni hasa nikitumia toilet papers nakuwa nawashwa sana kwenye tundu la haja kubwa.
sio utani wa ndugu hyo sehemu inawasha sana mara ninapomaliza kujisaidia haja kubwa mpka nakosa amani,mzizi mkavu nawengi naombeni mnishauri.
Pole sana kwa hayo matatizo kama unawashawa kwa kutumia Toilet papers tumia maji ya uvuguvugu na fuata ushauri wa wenzangu walivyokueleza hapo mwanzo.
 
Wewe utakuwa na tatzo la hermoreoids tafuta dk. Acha kula vitu vigumu kama mkate na vyote ambavyo vina wanga. Nenda kwanza hosp. Ujichunguze kama unatokwa na damu au ukikaa unasikia maumivu nk.


The king.
 
pia kuna ugonjwa unaitwa BAWASIRI PIA HUFANYA MTU AWASHWE... Pia inaweza kuwa ni minyoo... Pia ni nzuri zaidi ukienda kwa choo utumie maji safi...
 
Wandugu mwenzenu naumwa kila nikitoka chooni hasa nikitumia toilet papers nakuwa nawashwa sana kwenye tundu la haja kubwa.

Sio utani wa ndugu hyo sehemu inawasha sana mara ninapomaliza kujisaidia haja kubwa mpka nakosa amani,mzizi mkavu nawengi naombeni mnishauri.

Kama una kapepo ka kikameruni!
 
kerai hujaeleza bayana huo muwasho una kivimbe kuzunguka mlango wa tundu au kuna kipele au damu zinatoka
Member waliotangulia wameshautaja ugonjwa mmojawapo huenda ukawa ni Bawasiri au Hemorrhoids
Kitaalam huu ugonjwa humpata mtu yeyote awe Mwanaume au Mwanamke na sii kwa kujamiiana kwenye njia ya haja kubwa km wanavyotisha wengine hapa.
Ipo thread tuliijadili sana na hata Mzizi mkavu shahidi sasa nakushauri funguka zaidi wataalam wengine wapo
  • Hiyo toilet paper hulowa damu au usaha?
  • je ni kipele kinachowasha ukikikuna hata mbele za watu kinapoa?
Kma ni hivyo basi fuatilia link hizi
How to Spot the Symptoms of Hemorrhoids: 17 Steps - wikiHow
670px-Spot-the-Symptoms-of-Hemorrhoids-Step-3.jpg

na hii hapa https://www.clinicalkey.com/topics/surgery/hemorrhoids.html
[h=1]Hemorrhoids[/h]
Surgery > HemorrhoidsKey points


  • Hemorrhoids comprise the blood supply to the anus and distal rectum
  • Features of hemorrhoids include bright red bleeding/staining of toilet paper, perianal irritation and itching, pain with external thrombosis or incarcerated prolapse (grade IV) of internal hemorrhoid, mucus or fecal staining of underclothes, prolapse, and
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom