Pole sana kwa hayo matatizo kama unawashawa kwa kutumia Toilet papers tumia maji ya uvuguvugu na fuata ushauri wa wenzangu walivyokueleza hapo mwanzo.wandugu mwenzenu naumwa kila nikitoka chooni hasa nikitumia toilet papers nakuwa nawashwa sana kwenye tundu la haja kubwa.
sio utani wa ndugu hyo sehemu inawasha sana mara ninapomaliza kujisaidia haja kubwa mpka nakosa amani,mzizi mkavu nawengi naombeni mnishauri.
Wandugu mwenzenu naumwa kila nikitoka chooni hasa nikitumia toilet papers nakuwa nawashwa sana kwenye tundu la haja kubwa.
Sio utani wa ndugu hyo sehemu inawasha sana mara ninapomaliza kujisaidia haja kubwa mpka nakosa amani,mzizi mkavu nawengi naombeni mnishauri.