Jambo gani litakalokuwa jipya lisilofaa linaloweza kufanywa ambalo halijafanywa na plate namba za kawaida??3D ilionekana namba isio rasmi tukaambiwa camera hazisomani na plate namba lakini leo hii kuelekea uchaguzi zimezagaa gari zenye namba za SSH, je hizi camera zinasomaje? Na pia huwezi kukuta zimesimamishwa na trafic, je haziwezi kutumiwa na watu waovu kufanya mambo yasio faa kwa plate za SSH??
Kodi zetu lazima ahojiwe fanya mambo yako