Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiswahili ni lugha ya Kibantu yenye misamiati mingi ya Kiarabu inayozungumzwa katika eneo kubwa la Afrika ya Mashariki.
Lugha hii ina utajiri mkubwa wa misamiati, misemo, mithali, mashairi, mafumbo, vitendawili na nyimbo. Kiswahili hutumika mashuleni na kuna vitabu vingi vilivyotungwa kwa kutumia lugha hiyo, vikiwa pamoja na vile vya hadithi, hekaya au riwaya.
Lugha ilianza takriban miaka 800-1000 iliyopita katika mazingira ya vituo vya biashara vya pwani ambako wafanyabiashara kutoka Uarabuni, Uajemi na Uhindi walikutana na wenyeji Waafrika. Lugha kuu ya kimataifa ya biashara hiyo ilikuwa Kiarabu.
Inaonekana ya kwamba lugha mpya ilijitokeza wakati wenyeji wa pwani, waliokuwa wasemaji wa lugha za Kibantu, walipopokea maneno mengi hasa ya Kiarabu katika mawasiliano yao. Kwa hiyo msingi wa Kiswahili ni sarufi na msamiati wa Kibantu pamoja na maneno mengi ya Kiarabu. Imekadiriwa ya kwamba theluthi moja ya maneno ya Kiswahili yana asili ya Kiarabu.
Kando ya Kiarabu kuna pia athira ya lugha mbalimbali kama Kiajemi, Kihindi na Kireno. Wakati wa karne ya 20 maneno mengi yalipokewa kutoka Kiingereza.
Kwa karne nyingi iliandikwa kwa herufi za Kiarabu (?????? sawaHili au ??? ???????? lugha sawaHiliya).
Sarufi ya kwanza pamoja na kamusi iliandikwa mwaka 1848 na Dr. Ludwig Krapf huko Rabai Mpya / Mombasa.
Kiswahili kilikuwa na lahaja nyingi kutokana na lugha mbalimbali za Kibantu zilizochangia mle.
Tangu karne ya 19 lugha ilianza kuenea barani kwa njia ya biashara.
Wakati wa ukoloni wa Uingereza lugha ilisanifishwa kwa njia ya Kamati ya kimaeneo ya lugha ya Kiswahili kwenye msingi wa lahaja ya Unguja
Ninakubaliana na wewe mfano Waarabu hawana G hivyo Kiswahili kilitumia ayn ya Kiarabu na kuweka doti tatu juu.Kiswahili cha mwanzo kilikuwa kinaandikwa kwa herufi za kiarabu... so kama neno la kiarabu linalotamkwa ka ndio herufi hiyo itaandikwa... Kuja kwa herufi tunazozitumia kwa sana sijui.... Nadhani watakuwa wajerumani au Waingereza....
Kwa hiyo Dr. Ludwig Krapf ndiye aliyetupangia muundo huu wa uandishi wa Kiswahili tulio nao?Mkuu hilo nimewahi kulielezea hapa siku za nyuma sana tena kwa kirefu sana
Moja ya makala zangu hii hapa inajibu swali lako,
Kwa hiyo Dr. Ludwig Krapf ndiye aliyetupangia muundo huu wa uandishi wa Kiswahili tulio nao?
Vielelezo viambatanishwe tafadhaliKiswahili cha mwanzo kilikuwa kinaandikwa kwa herufi za kiarabu... so kama neno la kiarabu linalotamkwa ka ndio herufi hiyo itaandikwa... Kuja kwa herufi tunazozitumia kwa sana sijui.... Nadhani watakuwa wajerumani au Waingereza....
Ninakubaliana na wewe mfano Waarabu hawana G hivyo Kiswahili kilitumia ayn ya Kiarabu na kuweka doti tatu juu.
Waarabu hawana p hivyo Waswahili walitumia bee na kuweka doti tatu chini.
Kuja kwa herufi za sasa ndio sasa ambapo ningependa kuchambuliwa.
*Kwa bahati mbaya historia ya Kiswahili imevurugwa sana kama ilivyoharibiwa historia ya nchi.
KIMAANDISHI (herufi) hata hakuna G, O wala P katika Kiarabu.Samahani Kaka Sideeq,
hivi Kiarabu chote kinafanana?, hakuna tofauti ya kiarabu say cha Misri na cha Yemen ama Saudi Arabia?
Nadhani kuna kiarabu nika G na kingine hakina
O.K tumwache Krapf kidogo halafu tutamrudia! kabla ya hapo aliyekikusanya Kiswahili na kuanzisha kukiandika kwa hati za Kiarabu ni nani?Yericko Nyerere said:Huuyo ndie
Uandishi huu wa Kiswahili unatumika mpaka leo hii (zungusha akili yako kidogo)...upo kutokana na mtiririko nimejifunza kwa fulani , fulani naye kajifunza kwa fulani, fulani..mpaka kilipoanzia.Bujibuji said:Vielelezo viambatanishwe tafadhali
Vielelezo viambatanishwe tafadhali
Introduction
Verb Affixation
Swahili Time
Dialects
References
Useful Links Kwa hiyo Dr. Ludwig Krapf ndiye aliyetupangia muundo huu wa uandishi wa Kiswahili tulio nao?
Huuyo ndie
Nimeipenda hii.Mlaleo said:The Latin alphabet has since become standard under the influence of European colonial powers.