LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,483
- 3,369
Je? Yupo kikazi? Ama ubabe wake umemtoa.Yupo Morogoro
si nasikia aliolewa na mama mmoja anafanya biashara night club hapo moro!!
Duu!!!!Yeah - Aziza
Ama kweli kazi ipo! Hata yule libaunza anaolewa? Ama alikuwa jeuri kwa wanaume wenzake na kwa malaya wa kike hana ujanja. Mmmmh! Ama kweli duniani kuna mambo. Hata baadhi ya raia wakijua huyo fara ameolewa licha ya kuoa hakika watackitika sana.Yeah - Aziza
duh! huyu jamaa namkumbuka alikuwa bonge la mbabe ukikuta kashika wazururaji anawakimbiza njiani huku anawaambia waimbe wao ni wazembe enzi hizo primary niko Meru primary tunamshangilia basi anafurahii! hivi kupanda vyeo polisi ni vip? sio mpaka ukasome au? nafkiri huyu jamaa shule ni ndogo je kafikajefaje hapo?
Pukudu@ Ilkiding'a, Arusha
Saba sita hajawahi kuthubutu kuja mitaa ya kwetu "ungalimi"
yupo moro kikazi ana cheo cha inspector sasa. ndiye aliwapokea wageni wale waliokuwa na mpango wa kumuua Dr mwakyembe na kuwapeleka ktk hotel moja mjini moro. hana issue, alikuwa anaendekeza upolisi ule wa zamani, shule nayo teeeee!
kuwa makini na maneno yako,una prove au ndo kufuraisha jukwaa...