Mwenye kujua kijiji cha KIBINDU kilichopo Chalinze mkoani Pwani

Mwenye kujua kijiji cha KIBINDU kilichopo Chalinze mkoani Pwani

BARA BARA YA 5

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2009
Posts
1,174
Reaction score
835
Ndugu wadau,nimeambiwa huko kuna mashamba yanayofaa kwa kilimo cha mazao.mbalimbali,bei hadi laki 1.5 kwa ekari sasa nataka kujilipua mwaka huu.

Asanteni
 
Ndugu wadau,nimeambiwa huko kuna mashamba yanayofaa kwa kilimo cha mazao.mbalimbali,bei hadi laki 1.5 kwa ekari sasa nataka kujilipua mwaka huu.

Asanteni
... maelezo hayo in connection na title ya thread; unauliza au unatoa taarifa ndugu mkulima?
 
Sehemu zote ambazo ardhi ni bei rahisi unatakiwa ujiulize maswali yafuatayo:
Je,barabara inapitika wakati wa mvua?
Kuna umbali gani kutoka shambani hadi sehemu utakayouzia mazao yako?
Je,hakuna wanyama kama ngedere,nyani,nguruwe?
Je, Kuna wafugaji(Wamasai,Wamang'ati,Wakwavi nk)maeneo ya karibu na shamba?
 
Back
Top Bottom