Sehemu zote ambazo ardhi ni bei rahisi unatakiwa ujiulize maswali yafuatayo:
Je,barabara inapitika wakati wa mvua?
Kuna umbali gani kutoka shambani hadi sehemu utakayouzia mazao yako?
Je,hakuna wanyama kama ngedere,nyani,nguruwe?
Je, Kuna wafugaji(Wamasai,Wamang'ati,Wakwavi nk)maeneo ya karibu na shamba?