understanding
Member
- Feb 17, 2013
- 75
- 34
wana jamii forums, naomba mnisaidie niwafahamu hawa wafaransa wanaoitwa Alliance Francaise? wanahusika na nini? na je kweli wanasaidia au lengo la kusaidia? nataka niwapelekee proposal yangu lakin sina imani yao sana kwani nilishawahi kuwapigia simu nikajibiwa vibaya