Mwenye kujua sababu za goli la Singida FG kukataliwa atueleze

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Nimerudia zaidi ya mara 20 kutazama hili tukio, lakini sijaona sababu za kukataliwa kwa goli la Singida FG.

Kwakuwa humu JF kuna wabobezi wa sheria ya offside, ni vema tupeane elimu kwa manufaa ya vizazi vijavyo.

Natanguliza shukrani
 
Kwenye video ni kama mchezaji wa Singida alikuwa offside kabla halafu akaiua akarudi nyuma move ya vipasi ilipotokea akapata mpira akafunga kukiwa na mabeki wawili,sasa sijui refa aliangalia offside ya kabla ila mbona mchezaji aliua akarudi na mpira ukaendelea kwa mda
 
Labda kipa alitoka na pia akahesbiwa mchezaji kama kipa then yule bwana akajikuta yupo offside
 
Nimerudia zaidi ya mara 20 kutazama hili tukio, lakini sijaona sababu za kukataliwa kwa goli la Singida FG.

Kwakuwa humu JF kuna wabobezi wa sheria ya offside, ni vema tupeane elimu kwa manufaa ya vizazi vijavyo.

Natanguliza shukrani
Hebu nawe Niambie Hili Goli kwann Lilikataliwa Shida hapa ni Ihefu
 
images (2) (1).jpeg
 
Nimerudia zaidi ya mara 20 kutazama hili tukio, lakini sijaona sababu za kukataliwa kwa goli la Singida FG.

Kwakuwa humu JF kuna wabobezi wa sheria ya offside, ni vema tupeane elimu kwa manufaa ya vizazi vijavyo.

Natanguliza shukrani

Offside. Kwenye TV huwezi ona
 
Kwenye video ni kama mchezaji wa Singida alikuwa offside kabla halafu akaiua akarudi nyuma move ya vipasi ilipotokea akapata mpira akafunga kukiwa na mabeki wawili,sasa sijui refa aliangalia offside ya kabla ila mbona mchezaji aliua akarudi na mpira ukaendelea kwa mda
Ok
 
Match ya 5 kwenye ligi gape la points 3 ni nothing,kikubwa tunaweka mambo sawa kila mtu ajiridhishe kinachofanyika ili na sisi tuache mpira tufanye kama haya wanayofanya wenzetu halafu mwisho wa siku tuone nani atalia
Sahihi
 
Kuibeba Simba ni kama mtu aliyeba mzoga, una vumilia harufu lakini kuna muda inzi watakua wengi utatupa zigo na kukimbia.

Marefa wanajitahidi kwasasa kuvumilia harufu lakini muda si mrefu zigo watalitupa.
 
Back
Top Bottom