Mwenye kujua sehemu ya kuuza jumla maziwa mtindi Mbagala, Kongo'e, au Toangoma

Mwenye kujua sehemu ya kuuza jumla maziwa mtindi Mbagala, Kongo'e, au Toangoma

MIRIMA

Senior Member
Joined
Jul 17, 2023
Posts
126
Reaction score
357
Jamani nilikuwa nauza vitafunio tu ,lakini nilijaribu kuweka maziwa mtindi naona napata wateja wa mtindi.

Naomba msaada kwa nae fahamu sehemu mtindi unapatikan naweza kupata kuanzia Lita 10 hadi 20 maeneo ya mbagala, Kongowe hadi Toangoma.
 
Jamani nilikuwa nauza vitafunio tu ,lakini nilijaribu kuweka maziwa mtindi naona napata wateja wa mtindi.

Naomba msaada kwa nae fahamu sehemu mtindi unapatikan naweza kupata kuanzia Lita 10 hadi 20 maeneo ya mbagala, Kongo'e hadi Toangoma.
Mcheck huyo yuko Mbagala Kuu 0767207426 Dismas.
 
Back
Top Bottom