kikoozi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2015
- 2,094
- 3,108
Habarini wakuu, nataka kununua kisimbuzi cha Azam na ninaweza kununua cha dish na cha antena maana bei elekezi nasikia ni 130000 cha dish na 99000 cha natena, ila sijajua icho cha antena utofauti wake na cha dish ni kwenye nini, mtu akiwa na dish anafaidika na nini ambacho mwenye antena hapati, karibuni sana.