Mwenye kujua soko la kamba za katani

Mwenye kujua soko la kamba za katani

Jamsojamaal

Member
Joined
Jul 13, 2022
Posts
23
Reaction score
6
Mwenye kujua soko zuri la kamba za katani, tafadhali naomba msaada. Na tuwasiliane
 
Yes zipo za size tofouti tofouti, kamba kubwa na zile kudu/twines zipo pia
 
Samahani nilikuwa nje ya mtandao kwenye hii weekend
Nicheki 0778592599
 
Wadau bado natafuta soko la kamba za katani. Mwenye uhitaji ama anayefahamu soko tafadhali tuwasiliane.
 

Attachments

  • Screenshot_20220726-110651.jpg
    Screenshot_20220726-110651.jpg
    93.5 KB · Views: 24
Kwa uhitaji wa kamba pls nicheki zipo katika ujazo tofouti
06-14mm
16-20mm
22-50mm
Kudu/Twine
200Mr/kg-800Mtrs/kg
 
Back
Top Bottom