Mwenye kujua soko la vifaa vya kilimo kama sprayer pump 16L/2L na spare parts zake tukutane hapa

Mwenye kujua soko la vifaa vya kilimo kama sprayer pump 16L/2L na spare parts zake tukutane hapa

abely kamaly

Member
Joined
Mar 27, 2018
Posts
9
Reaction score
3
Bila kupoteza muda mimi ni mkulima napambana kujikwamua kimaisha, ingawa sisi wakulima tunadharaulika sana ila tukazeni tu ipo sku tutaheshimika.

Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu, mwenye kutaka au kujua soko lilipo kwa vtu kama pump za kupulizia dawa (sprayer pump 16L), au ndogo 2L kwa vinyozi pia wengi wanazitumia, spare complete za chuma, bati na plastiki, na rubber, pamoja na nozzle tujuzane.

Mimi napatikana Dar na Mwanza pia

IMG_20240904_092702_164.jpg
IMG_20240904_092711_190.jpg
IMG_20240904_092630_356.jpg
IMG_20240904_092550_332.jpg
IMG_20240904_092653_125.jpg
IMG_20240904_072321-COLLAGE.jpg
 
Bila kupoteza muda, Kama mada tajwa hapo juu mimi nikijana mkulima na mfugaji napambania ndoto zangu za kujikwamua na huu umaskini, mwenye kuhitaji au kujua soko lilipo la mashine za kupulizia dawa ( sprayer pump 16L/2L), na spareparts zake kama spare complete za chuma, bati na plastiki, pamoja na nozzle na rubber karbuni sana. Ikumbukwe nyakati za kilimo zshakarbia kabisa.
Tunapatikana Dsm na Mwanza
 

Attachments

  • IMG_20240904_092711_190.jpg
    IMG_20240904_092711_190.jpg
    66.8 KB · Views: 4
  • IMG_20240904_092702_164.jpg
    IMG_20240904_092702_164.jpg
    125.7 KB · Views: 3
  • IMG_20240904_092653_125.jpg
    IMG_20240904_092653_125.jpg
    145.2 KB · Views: 3
  • IMG_20240904_092550_332.jpg
    IMG_20240904_092550_332.jpg
    137.8 KB · Views: 4
  • IMG_20240904_092630_356.jpg
    IMG_20240904_092630_356.jpg
    116.7 KB · Views: 3
  • IMG_20240904_072321-COLLAGE.jpg
    IMG_20240904_072321-COLLAGE.jpg
    59.1 KB · Views: 3
Back
Top Bottom