Mwenye kujua taratibu za kuomba mkopo benki kwa dhamana ya nyumba

Mwenye kujua taratibu za kuomba mkopo benki kwa dhamana ya nyumba

mnangagwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2017
Posts
992
Reaction score
1,461
Habari,

Naomba maelekezo kutoka kwa members ambao walishawahi kukopa bank kwa dhamana ya nyumba,maana mambo yashakuwa magumu, nyumba iko DSM, ilala kata ya kitunda.

Mwenye uzoefu tafadhali naomba maelekezo.
 
Nenda bank husika ukiwa na picha ya nyumba yako utapewa maelekezo. Angalizo kuwa makini mkopo usije fanya nyumba yako ikauzwa kwa hasara. Nmb wapo faster nenda tawi lolote hapo ilala watakupa maelekezo
 
Mkopo sio zawadi pia isije kuwa unachukua mkopo nyumba ya urithi hata hivyo kimfaacho mtu chake, Kila la heri.
 
Back
Top Bottom