Naomba maelekezo kutoka kwa members ambao walishawahi kukopa bank kwa dhamana ya nyumba,maana mambo yashakuwa magumu, nyumba iko DSM, ilala kata ya kitunda.
Nenda bank husika ukiwa na picha ya nyumba yako utapewa maelekezo. Angalizo kuwa makini mkopo usije fanya nyumba yako ikauzwa kwa hasara. Nmb wapo faster nenda tawi lolote hapo ilala watakupa maelekezo