Million 5 kwa miaka mi3Habari zenu!
Naomba mwenye ufahamu juu ya gharama mpya za kuweka namba binafsi kwenye magari, yaani kuwa na plate number yenye jina la mtu; pasipo kutumia hizo A-B-C-D zao! Nataka gharama ya kuandika jina kama walivyo andika kina MASANJA-1, MSOFE, HAPA KAZI TU n.k Nina ndoto za kumiriki gari kama hii aisee, na kwa vile naipenda sana nataka niweke jina langu kabisa. The car of my dream "Land Rover DISCOVERY"
View attachment 355038
Hiyo mil 5 ni Kwa mkupuo? au ni 5/3 yaan 1.7mil kila mwaka?Million 5 kwa miaka mi3
Million 10 Kwa mda gani? Na inalipwa kila mwaka yaan 10mil per given years au?Kuanzia mwezi ujao ni m10
Wanasemajecc: Dr mpango budget ya jana wameligusa hilo
imepanda kutoka mil 5 mpk mil 10Wanasemaje
Kuanzia mwezi ujao milioni 10 kwa mwaka.Million 5 kwa miaka mi3
Ni milioni 10 kwa mwaka.Million 10 kwa miaka mitatu rasmi kuanzia Mwezi ujao
Million 10 kwa miaka mitatu!Ni milioni 10 kwa mwaka.
Million 10 kwa miaka mitatu!
About 3.3M kwa mwaka.