Uhuru24
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 4,112
- 4,361
Wakuu maisha ni magumu sana kwakweli lakini hamna namna inabidi twende nayo hivyohivyo mpaka hapo tutakapoishia.
Sasa nimejichanga ni kapata ka TV kwangu nchi 32 kampuni zetu hizi za STAR X, sasa nakumbana na shida moja ambayo mwenye kujua anielekeze jinsi ya kutatua.
Tatizo lenye we ni kwamba, mimi mpenz sana wa kutazama vitu tofauti sana, sasa kama kitu nimekuona kwenye mtandao basi nitaki download ili nikitie kwenye FRASH huku niweze kutazama na kujipa Burdani.
Sasa shida Kubw ni kitendo cha ku SCRATCH, yaan na jikuta sasa sina hata raha kabisa kutazama kitu kupitia flash, hasa movie angarau vi_nyimbo havisumbuagi
Mwenye kujua tatizo la hichi kitu anisaidie kwakweli mpka nafikiria kununua king'amuzi cha Azam ili nipate ile sehemu ya flash, maana mimi natumia DSTV
KARIBUNI WAKUU KWA MICHANGO YENU
Sent using Jamii Forums mobile app