Mwenye kujua tatizo hili anisaidie

Uhuru24

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
4,112
Reaction score
4,361
Wakuu maisha ni magumu sana kwakweli lakini hamna namna inabidi twende nayo hivyohivyo mpaka hapo tutakapoishia.

Sasa nimejichanga ni kapata ka TV kwangu nchi 32 kampuni zetu hizi za STAR X, sasa nakumbana na shida moja ambayo mwenye kujua anielekeze jinsi ya kutatua.

Tatizo lenye we ni kwamba, mimi mpenz sana wa kutazama vitu tofauti sana, sasa kama kitu nimekuona kwenye mtandao basi nitaki download ili nikitie kwenye FRASH huku niweze kutazama na kujipa Burdani.

Sasa shida Kubw ni kitendo cha ku SCRATCH, yaan na jikuta sasa sina hata raha kabisa kutazama kitu kupitia flash, hasa movie angarau vi_nyimbo havisumbuagi

Mwenye kujua tatizo la hichi kitu anisaidie kwakweli mpka nafikiria kununua king'amuzi cha Azam ili nipate ile sehemu ya flash, maana mimi natumia DSTV

KARIBUNI WAKUU KWA MICHANGO YENU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uza hiyo tv urudi kua kama zamani na hilo tatizo haitokuwepo tena hapo kwako.
 
Aiseee mimi nimesahau password ya app ya DSTV NOW

hii app huwa naitumia kuangalia DSTV popote pale napokua mbali na nyumbani kwa kutumia simu yangu ya mkononi sasa nimesahau password nifanyeje? ?


Cc Smart911




Sent using Jamii Forums mobile app
 
3: Format unazo-download.
Format nzuri ni mp4.
Format nyingine kama mkv, avi sio nzuri sana kwa deki na tv maana zipo compressed.
Jaribu ku-convert hizo video kwenda mp4 au unapo-download hakikisha ni mp4.
Kwa audio tumia mp3.

2: Pia kuna resolution.
Hakikisha resolution ya hizo video ipo sawa au inakaribiana na resolution ya tv yako. Kama video resolution ni kubwa zaidi itaweza kukuletea shida e.g. 720p,1080p, 3D, 4K, 8K.

3D, 4K, 8K ni higher resolution na hazioneshi kwenye tv yoyote. Lazima iwe ina-support hizo format ndio uweze kuangalia smoothly

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru kwa wote, tatizo nimegundua ni laptop yangu ndio inashida, maana hii laptop haikuwa kabisa na graphics hivyo ninapochukua kitu kutoka kwenye hii laptop na kutia kwenye flash then tv, basi tv ilikuwa inashindwa kutasfiri kile kilichomo kwenye flash.

Hivyo baada ya kuweka graphics za kutosha kwenye hii pc basi sasa hivi niki copy chochote kutoka humu hakisumbui kabisa kwenye tv.

NB:SHUKRAN KWA WOTE MLIFANIKISHA MAWAZO YENU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…