Mwenye kujua uimara na bei ya kuagiza Toyota Rush

Mwenye kujua uimara na bei ya kuagiza Toyota Rush

Hello Gentleman and ladies, naombeni kuulizia .Napenda sana hizi gari aina ya Toyota Rush ,mwenye kujua uimara wake na kuiagiza mpaka ifike hapa Dar Port ina cost milion ngapi . naombeni msaada wenu please.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa barabara zetu za bongo inafaa kwa sababu iko juu ukilinganisha na nyingine za aina yake. Price 19-20m.
 
Back
Top Bottom