Mwenye kujua umri wa Wema Sepetu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
khaaaaah
Hizi futuhi muwage mnaangalia Pa kuwekaaa, ll

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
Hizi futuhi muwage mnaangalia Pa kuwekaaa, lol
Sina sababu ya kudanganya hapa mimi naandika kitu nina uhakika nacho.

Nakumbuka tulikuwa kwenye msiba wa bibi yetu mwezi wa tisa mwaka 2006 maeneo ya Tabata. Wema alihudhuria kwenye huo msiba kama rafiki yake na binamu yangu.

Ndugu tuliokuwepo pale tukaambiwa huyu anaitwa "Wema" anashiriki miss Tanzania anawakilisha Kinondoni. Baadaye kwenye story za hapa na pale nikamuuliza Binamu "Mbona wewe na Wema kama mnalingana hivi, lakini wewe umeshindwa kushiriki kisa umri". Binamu alinambia Wema kafanyiwa mpango kaongeza umri ili aweze kushiriki mashindano. Siku kadhaa mbele Wema alishinda taji hilo.

Sasa nidanganye ili nipate faida gani. I'm just sharing what I Know uamini usiamini sio shida zangu.
 
Haya bhana ,ila msichana wa mika 16 ukimtizama tu unauona kabisa utoto wake,basi walianza kumt***mba siku nyingi sana
 
33yrs
 
Kwani kuhoji umri wa celebrity ni kosa?
Wema ni wa mwaka 1990
Mwaka huu anatimiza 33
 
Sema alianza michezo ya kuolewa/kuwekwa kinyumba mapema...
 
Uko sahihi..alikua anatembea na dogo mmoja pale Sinza Mori. Huyo dogo kwao nyumba ipo barabarani mboga saba, alikua tozi sana. Enzi hizo ka-Wema kanasubiri gari la shule na sketi zao za draft pale Mori.
Kitambo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…