Lizo mkristu
Member
- Oct 31, 2019
- 75
- 95
Utakuwa ulikosea kujieleza kwenye email uliyowatumia wakaona wakupe permanent banNilikutana na hii kitu miezi minne imepita nikapigwa Ban na Whatsapp(Nilikuwa natumia ambayo si official).
Tangu wkt huo nimejaribu kila namna ku Download Whatsapp Messenger au businnes kwa kupitia Google play na wkt mwingine ku download apk kupitia browser.
Imegoma kabsa.
Licha ya jitihada ya kutuma email na kuwaomba radhi wtsap.
Mambo bado yamegoma..
Huenda kuna mbinu mbadala..
Msaada tafadhali.