Mwenye kujua website inayoonyesha mpira wa real madrid na barcelona tafwadhali atuwekee.

Mwenye kujua website inayoonyesha mpira wa real madrid na barcelona tafwadhali atuwekee.

Cassava

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2010
Posts
282
Reaction score
36
Wadau, kama mnavyojuwa mechi hii inapigwa naiti kali ya leo, Naomba msaada mwenye kujuwa live stream inayoonyesha hiyo mechi tusaidiane ili niitafute kwa mtandao.
 
dah! Kweli mwana ila nilickia kama startv watairusha vile,cna uhakika.
 
Magictv.co, atdhenet.tv

Wote hao unapata online na espn3 inategemea na location yako(jaribu lakini).
 
Back
Top Bottom