Mwenye kujua Yard inayouza Gari Hii Tafadhari

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,699
Reaction score
4,117
Habari zenu,

Naomba kama kuna mtu anajua wanapouza gari aina hii. Ni kwa ajili ya kubebea mzigo maswafa marefu kama 600kms hivi. Pia waweza nishauri brandi ipi ni nzuri mfano Toyota, TATA, au Mitsubishi.


Ahsanteni
 
Uliko pata hizi picha wanaweza kukuelekeza vizuri.
 
Diamond Motors Unapata Hizo Chombo
Kama Unakwenda Airport Ya Dar es salaam
Telemka Kituo Kinaitwa Sido.
Tata Huko Huko Ni Jirani Hapo Hapo
 
Pesa unayo au unauliza #kwanza vp ajira ulipata
 
Nenda kama unaenda uwanja wa ndege. Kabla hujafika, mbele kidogo ya mataa ya Vingunguti kulia, utapaona kwenye Yard yao. Ila gari zao ni mpya kabisa. Sio used...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…