Mwenye kujua zaidi jamani - Network Marketing...

KingRay

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Posts
516
Reaction score
291
Msaada kujua hizi biashara za online like ..Telex Free etc ...hivi kweli zinalipa once you get in? Please us ....Thanks
 
Msaada kujua hizi biashara za online like ..Telex Free etc ...hivi kweli zinalipa once you get in? Please us ....Thanks

I'm Confused! There's So Many Opportunities Being Promoted On the Internet, and It Seems Like a New One Launches Every Day! How Do I Know Which is the Right One to Join?" Discover a rapidly growing company recommended by Businessforhome.org and Robert Kiyosaki of "Rich Dad, Poor Dad" fame, which is now expanding throughout the world in more than 50 countries!! Watch Robert's 1 minute video now! ([url]www.goodnews.kiyosaki1minutevideo.com[/URL] )
 
Msaada kujua hizi biashara za online like ..Telex Free etc ...hivi kweli zinalipa once you get in? Please us ....Thanks

Kabla hujaanzisha thread uwe natabia ya ku search thread za watu wengine za JF in google utazipata nyingi tu za topic za interest zako. Ukikosa ndio uje uanzishe thread yako ya title husika. Hii mada ya TelexFree imeshaogelewa sana humu JF. Binafsi nishachoka ku comment mara kwa mara. Hiyo kitu ni scam achana nayo Rwanda, Kenya na Uganda ziko under investigation so far. Nchi zingine walishaifungia na ku freeze assets zao so wanakuja Africa to maintain and keep the pyramid structure going. Kuwa makini utakuja mwaga kilio humu JF siku za usoni. #MtazamoTu

But if you are seriously searching for a legit network marketing opportunity and want to keep away the odds of success to your favor. There is a proven and successful formular to MLM success revealed by MLM experts and million dollar earners with over 30 years of experience, a proven track record of success and featured in leading success publications that will help you make a right decision when choosing an MLM opportunity and keep u in fast track making profits. If interested visit the link below. #Goodluck
www.goodnews.the6parameters.com

 
Nashukuru sana KingRay, kwa kuanzisha maada hii, ukweli ni kwamba watu wengi wa tanzania hawapendi kusoma na kujifunza njia mpya ya kuongeza kipato, mimi binafsi profession yangu ni upande wa kompyuta,na natumia komputer masaa mengi zaidi kwa siku, kwa hiyo nikafanya research ni kampuni gani ambayo unaweza kufanya biashara ukiwa tu mbele ya computer yako na access ya internet, itakayonifanya niweze kujenga network ya watu toka pande mbali mbali duniani,maana kwa nyakati hizi biashara ya Network usiangalie Tanzania tu, angalia biashara ambayo unaweza kufanya maketing dunia nzima na ukapata commisions huko kwa njia ya internet, maana ndo wenzetu huko majuu wanaishi hivyo, mtu yupo nyumbani na Internet yake anafanya biashara.

Hebu waza kwamba una downline wako wapo USA,Canada,Phillipines,Europe,Asia,African country!!,wanaelewa biashara na wanafanya biashara, na wewe kama upline wao unawamanage na kuwafundisha kwa email tu, na kuchati tu, halazimishwi mtu kununua product yeyote, unaweza ukajiunga bure, unapata mafunzo bure, na unapata cheo cha kwanza bila kulipa chochote,ni kwa kufanya baadhi ya activities.

Hii sio get rich quick business, inahitaji mtu anayejua biashara ni nini au anayetaka kujifunza kwa zati, Ukifanya kwa kujicomit vizuri kipato kinakuwa kama ifuatavyo:

$135.30 per month after 6 months ($1,623.60/yr)
$1,458.30 per month after 12 months ($17,499.60/yr)
$3,159.30 per month after 18 months ($37,911.60/yr)
$5,508.30 per month after 24 months ($66,099.60/yr)

Hapo nimekuwa muwazi sana,ntarudia tena hii sio kama Desi Kwamba Unatajirika mwezi ujao,unatakiwa ufanye kazi kwa bidii,ujifunze na kufanyia kazi yale uliyojifunza, pia ujue kiiegereza safi kwa kuwa unawasiliana na ulimwengu wote

Kwa wale ambao wapo makini na kwa kweli walikuwa wanatafuta nafasi kama hii basi, jiunge Bure na click hapa Real Internet Income

Tukutane huko, tufundishane

Nashukuru Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…