Nahitaji msaada kwa mwenyekujua ni sheria ipi na ya mwaka gani ambayo haimruhusu dereva kutembea na kopi ya leseni na nini adhabu yake iwapo atakamatwa
Akunaga sheria ya kutembea na photocopy ya kitu chochote labda iwe certified na mwanasheria .Dereva popote lazima awe na leseni original.kama umepoteza inabidi utembee na police loss report.