Mwenye kulifahamu Ua hili

Mwenye kulifahamu Ua hili

Captain A

Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
67
Reaction score
163
Mwenye kulifahamu hilo Ua jamani anisaidie wapi naweza kulipata
Screenshot_20230419-120712.jpg
 
Nenda mlimani City nje kuna garden yapo mengi
 
YAPO MENGI TU KWA WAUZA MAUA. TUAMBIE BASI LINASAIDIA NINI?
 
Mti wa mkoko huo. Unapatikana kwenye fukwe za bahari.
 
Back
Top Bottom