Mwenye kumbukumbu mahali alipo huyu dada anipe msaada

benruby

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
404
Reaction score
588
Habari Wana bodi.

Kama ilivyo kawaida ya jamvi letu halikosi msaada wa Hali na hata Mali pia kma utahitahiji,
Niende kwenye mada moja moja.

Miaka ya 2013,14-'15 maeneo ya Vijana kinondoni bar na club ya usiku almaarufu Kama "Uhuru pick" na maeneo ya jirani Kama Masai club, Jacaranda, kulikuwa na dada mmoja hv mrefu Ana mwili+shepu flani hv ya kujaa jaa(Ana nyama za kushika). alikuwa akiuza nyama Katika maeneo tajwa hapo juu, sifa yake Ni alikuwa akivaa suruali jeans au kipensi lazima aishushe karibia nusu ya makalio na Mali akiiacha ikijinasibu yenyewe nje.

Mara ya mwisho alinipeleka hopefully ni manzense hii inayopakana na Tandale sikuweza kupagundua vizuri maana ilikuwa ni usiku na sikuweza kupakumbuka vizuri.

Kwa yeyote mwenye taarifa za kufaham alipo anipe msaada tafadhari.

Nawasilisha
 
ameshaolewa

yuko zake na mpemba
 
Kati ya hizo bar alikuwa anauzia ipi?
Maana umètaja karibia bar 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…