Mwenye kumjua mpigania Uhuru wa zamani ndugu Seleiman Bin Amir atupe historia yake

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Jamani mwenye historia ya huyu mdau aliyekuwa mwenyekiti Wa balaza la wazee TANU anijuze ilikuwaje mpaka akagombana na mwalimu.
 
Mkuu umemzumzia mtu muhimu sana kwenye harakati za ukombozi wa nchi yetu.kwa kifupi tu alikuwa ni mzee wa kislam anayejitambua kutokana na misimamo yake ya kidini ndio iliyopelekea akakosana na mwalimu lakini ukitaka habari zaidi tafuta kitabu kinachoitwa HARAKATI ZA WAISLAM NA KUGOMBEA HUURU WA TANGANYIKA mkuu utapata habari za huyu mzee
 
Mohameid Said na @Yericco Nyerere
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umemzumzia mtu muhimu sana kwenye harakati za ukombozi wa nchi yetu.kwa kifupi tu alikuwa ni mzee wa kislam anayejitambua kutokana na misimamo yake ya kidini ndio iliyopelekea akakosana na mwalimu lakini ukitaka habari zaidi tafuta kitabu kinachoitwa HARAKATI ZA WAISLAM NA KUGOMBEA HUURU WA TANGANYIKA mkuu utapata habari za huyu mzee
huyu mwenyekiti Wa uvccm Lindi wanaundugu?
 
Back
Top Bottom