mwenye kumjua sallam vizuri aje hapa

mwenye kumjua sallam vizuri aje hapa

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
nimetokea kuvutiwa na mahojiano yake na gazeti la champion la jana huyu sallam meneja kiongozi wa diamod.naomba kwa anayemjua labda asili yake hustle zake mishe zingne tofauti na umeneja labda na sisi tutaweza jifunza kitu
 
Mbona kwenye ile mada ya mahojiano uliyoanzisha wanaomjua wametoa maoni yao
 
Back
Top Bottom