Mwenye kumjua zaidi huyu Atalaku ( Mghani / Rapa / Animateur ) wa Extra Musica ya Roga Roga aitwae Zaparo Degaire anichambulie tafadhali

Mwenye kumjua zaidi huyu Atalaku ( Mghani / Rapa / Animateur ) wa Extra Musica ya Roga Roga aitwae Zaparo Degaire anichambulie tafadhali

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Dogo namuona ni Hatari sana na ndiyo Animateur ( Rapa / Mghani / Atalaku ) ambaye namuona anakuja kuwa Tishio kwa Atalaku bora kwa sasa Congo DR Pitshou Lisimo ( GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ) wa Bendi ya Wenge BCBG yake Jean Bedele Tshituka Mpiana na kwakweli ametokea Kunivutia na ana Sauti ya Kuchangamsha hasa pale Sebene likianza wakiwa Stejini.
 
Back
Top Bottom