Dogo namuona ni Hatari sana na ndiyo Animateur ( Rapa / Mghani / Atalaku ) ambaye namuona anakuja kuwa Tishio kwa Atalaku bora kwa sasa Congo DR Pitshou Lisimo ( GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ) wa Bendi ya Wenge BCBG yake Jean Bedele Tshituka Mpiana na kwakweli ametokea Kunivutia na ana Sauti ya Kuchangamsha hasa pale Sebene likianza wakiwa Stejini.