Mwenye kununua Madini haya tafadhali

Princeware

Member
Joined
May 30, 2016
Posts
42
Reaction score
17
Hi wana JF
Ninayo madin hayo hapo chin hivyo ningependa nipate mteja..
●Green Gamet
●Rubi
●Blusafaya
●Eleczandareki
●Krictaberi
●Grinitomarini
 
Hi wana JF
Ninayo madin hayo hapo chin hivyo ningependa nipate mteja..
●Green Gamet
●Rubi
●Blusafaya
●Eleczandareki
●Krictaberi
●Grinitomarini

Mkuu hapo kwenye gamenti ni garnet.
 
Green garnet
Blue saphire
ruby
Alexandrite
green tourmaline

Hiyo nyingine sijaielewa ni nini.
 
Hi wana JF
Ninayo madin hayo hapo chin hivyo ningependa nipate mteja..
●Green Gamet
●Rubi
●Blusafaya
●Eleczandareki
●Krictaberi
●Grinitomarini

acha utapeli wew utafungwa hizo mbinu hazipo siku hizi
 
Mpaka umeamua kutangaza hapa hayo sio madini,nnavyoelewa hayo madini uliyo orodhesha hapo yanajiuza
 
Hi wana JF
Ninayo madin hayo hapo chin hivyo ningependa nipate mteja..
●Green Gamet
●Rubi
●Blusafaya
●Eleczandareki
●Krictaberi
●Grinitomarini
Green Garnet

Rubi

Blue saffire




Alex
 
Duuuh.. nimesikitishwa sana na utajaji wako wa majina ya hayo madini
 
Mtu a nauliza yanapo uzwa mbona mnampingia naona nyinyi ndio wezi Hana kosa
 
Acha utani madini ayauzwi jf nenda pale kitumbini ukayauze kwa magolobochi...
 
Prince ware post: 16707515 said:
Hope umeelewa na ndo lengo langu
Mkuu vipi? Uko serious kufanya biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…