Mwenye kununua Madini haya tafadhali

Hi wana JF
Ninayo madin hayo hapo chin hivyo ningependa nipate mteja..
●Green Gamet
●Rubi
●Blusafaya
●Eleczandareki
●Krictaberi
●Grinitomarini
we milionea
 
Green garnet
Blue saphire
ruby
Alexandrite
green tourmaline

Hiyo nyingine sijaielewa ni nini.
Thanks mkuu niliandika kiswahil intentionally uelewa wa mtu bt in English namalizia iyo moja ilobaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…