yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,927
- 4,199
Hakuna anayeuza simu humu?
Kuna Samsung j7 weka no yako mkuuMwenye smart phone ya kuuza alete namba yake tuwasiliane. Pia unaeza weka picha hapa hapa.
Isiwe tecno.
Iwe katika hali nzuri sana.
Bei isizidi tsh. 200,000.
Karibu.
Tecno wadhamini wa Manchester cityMwenye smart phone ya kuuza alete namba yake tuwasiliane. Pia unaeza weka picha hapa hapa.
Isiwe tecno.
Iwe katika hali nzuri sana.
Bei isizidi tsh. 200,000.
Karibu.
Kwani Tecno siyo simu!!?Mwenye smart phone ya kuuza alete namba yake tuwasiliane. Pia unaeza weka picha hapa hapa.
Isiwe tecno.
Iwe katika hali nzuri sana.
Bei isizidi tsh. 200,000.
Karibu.