Mangi shangali
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 533
- 820
Habari za kwenu wote, natumaini ni wazima wa afya,japo kuna changamoto mbali mbali,haiwezi kukosekana kwenye huu ulimwengu,maana zimewekwa ili kuzitatua,cha msingi ni kumuomba MUNGU atupe nguvu ya kusonga mbele tukiwa na afya na nguvu..
Baada ya salamu, naleta kwenu huu uzi wenye kufundisha..
Mwenye shukrani ni yule anayetambua mema penye mabaya..
Anayetambua nuru katika giza.
Ukitaka MUNGU aanze kuonekana kwenye maisha yako,ya kupasa kushukuru kwa mabaya yote yaliyokujia.
SHUKRANI:-Ksaikolojia na kiroho. Ni uwezo wa pekee unaoweza kugeuza mabaya kuwa mema.
chochote unachomshukuru MUNGU kwa ajili ya kile kibaya,unakifanya kiwe chema..
UBAYA:-Ni mtazamo..
Tunaishi katika sayari ya matokeo,ukamilifu sio hasili ya dunia hii ,waswahili wanasema tenda mema nenda zako..ukitenda mema unapanda,ukimtendea mtu wema usitegemee wao wakurudishie mema,utakuja kuwa mbaya.
Wema utaupata kwa watu wa pembeni tena utaupata kwa wingi sana,maana matokeo ya wema hayatajificha.
Mwenye kuwa na shukurani anakuwa na furaha,
Ukiwa nafuraha unaruhusu damu kuflow vinzuri mwilini mwako,
Mwenye shukurani amejaa heri,.
Mwenye shukrani amejaa matumaini,
Mwenye shukrani ndiye mwenye mafanikio..
Ukiwa na shukrani maisha yako yatakuwa difference and exlence..
Anayekosa shukrani ndiye muhasi,
Kwani muhasi aridhiki,muhasi anaona kasoro tuu..
Mwenye shukrani anaona chema tuu,
Anaona mema penye mabaya.
Maisha yako sio mabaya tu,kuna mema pia jaribu kuwa nashukrani japo kidogo..
Mwenye kushukuru yupo na MUNGU