Mwenye kuweza kunisaidia connection ya jinsi ya kupata meza au eneo la biashara wiki ya maonesho ya nanenane

Tafadhali husika na kichwa cha habari naomba mtu yeyote mwenye kuweza kunisaidia connection ya jinsi ya kupata Meza au eneo la biashara wiki ya MAONESHO YA NANENANE kanda ya kaskazini jijini Arusha.

Kama kuna mtu amekodi eneo tayari anaweza nipa kipande nikaweka meza!

Lakini pia unaweza niunganisha na mtu ambaye unamfahamu au mtu wa TASO waandaji wa MAONESHO.

PLEASE NICHEKI

0784 32 17 16
Una bidhaa gani unazotaka kutangaza?
 
Huwezi pata nafasi zuri la kuweka meza kupitia mtandao mkuu, moja ni kwamba unaweza kupata ukajikuta unakaa kule kwenye mabanda ya mifugo maana ndipo kuna nafasi.

We jitoe na uende moja kwa moja pale kwenye maonyesho angalia location ambayo itakuvutia kulingana na biashara yako ndipo uongee na aliyelipia ili akumegee eneo, vinginevyo Mungu akuongoze.
 
Ushauri mzuri huu! Au akienda kule aangalie halmashauri yoyote akubaliane nao kama mjasiliamali hii wataikubalia maana nao wanataka kuongeza alama kwenye banda lao.
 
Huwezi pata nafasi zuri la kuweka meza kupitia mtandao mkuu, moja ni kwamba unaweza kupata ukajikuta unakaa kule kwenye mabanda ya mifugo maana ndipo kuna nafasi.

We jitoe na uende moja kwa moja pale kwenye maonyesho angalia location ambayo itakuvutia kulingana na biashara yako ndipo uongee na aliyelipia ili akumegee eneo, vinginevyo Mungu akuongoze.
Asante mkuu! nimekulewa boss..
 
Back
Top Bottom