Mwenye kuweza kunisaidia connection ya jinsi ya kupata meza au eneo la biashara wiki ya maonesho ya nanenane

Una bidhaa gani unazotaka kutangaza?
 
Huwezi pata nafasi zuri la kuweka meza kupitia mtandao mkuu, moja ni kwamba unaweza kupata ukajikuta unakaa kule kwenye mabanda ya mifugo maana ndipo kuna nafasi.

We jitoe na uende moja kwa moja pale kwenye maonyesho angalia location ambayo itakuvutia kulingana na biashara yako ndipo uongee na aliyelipia ili akumegee eneo, vinginevyo Mungu akuongoze.
 
Ushauri mzuri huu! Au akienda kule aangalie halmashauri yoyote akubaliane nao kama mjasiliamali hii wataikubalia maana nao wanataka kuongeza alama kwenye banda lao.
 
Asante mkuu! nimekulewa boss..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…