Mwenye kuzijua hizi Kozi

Mwenye kuzijua hizi Kozi

0swagg

Member
Joined
Jun 29, 2020
Posts
36
Reaction score
12
Mwenye kuzijua hiz kozi atupe mwanga [emoji119][emoji120]

- Bachelor of Business Administration

- Bachelor of Science in Library and Information Management

Ipi Bora, soko, [emoji120]
 
Una connection? Kama huna kasome uongeze maarifa uje kujiajiri tu.
 
Kasome business hiyo library utaishia kuwa mchawi na kuja kuilaumu serikali ya awamu ya saba na kuendelea
 
Back
Top Bottom