Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Jamani kama kuna mdau ana link ya group za whatspp zenye matangazo ya ajira atupiee link
Tuone kama tunaweza kubahatia kucheki michongo
Tuone kama tunaweza kubahatia kucheki michongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingia website ya ajira leo,Kuna link ya telegramJamani kama kuna mdau ana link ya group za whatspp zenye matangazo ya ajira atupiee link
Tuone kama tunaweza kubahatia kucheki michongo
Wana groups za WhatsApp?Ingia ajiraview utakutana na ajira za kutosha hawa jamaa wako vzuri sana, utakuja kunishukuru japo huwa hawatumi sana ila n uhakika bro. Andika ajiraview uingie kwenye website yao
Wnagroup lao la telegram ambalo huko unaweza pata matangazo na hayo magroup ukiombaWana groups za WhatsApp?