Mwenye link ya group za whatspp za matangazo ajira atupie

Bata batani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
3,217
Reaction score
3,694
Jamani kama kuna mdau ana link ya group za whatspp zenye matangazo ya ajira atupiee link

Tuone kama tunaweza kubahatia kucheki michongo
 
Ingia ajiraview utakutana na ajira za kutosha hawa jamaa wako vzuri sana, utakuja kunishukuru japo huwa hawatumi sana ila n uhakika bro. Andika ajiraview uingie kwenye website yao
 
Ingia ajiraview utakutana na ajira za kutosha hawa jamaa wako vzuri sana, utakuja kunishukuru japo huwa hawatumi sana ila n uhakika bro. Andika ajiraview uingie kwenye website yao
Wana groups za WhatsApp?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…