Mwenye maamuzi ya kuimaru serikali kumlipa mtumishi aliyeshinda kesi CMA

Mwenye maamuzi ya kuimaru serikali kumlipa mtumishi aliyeshinda kesi CMA

cheguevara

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
1,348
Reaction score
652
Habari,
Kumekuwa na watumishi wengi walioshinda kesi dhidi ya serikali na serikali kuamuliwa kulipa fidia lakini serikali hailipi.
Je aliyeshinda na kukazia hukumu atafanyaje kutekeleza hukumu husika/kuilazimisha serikali kulipa kwani ninavyoelewa mimi mali za serikali kuu na taasisi zake au akaunti za benki hazishikwi
 
Back
Top Bottom