Habari,
Kumekuwa na watumishi wengi walioshinda kesi dhidi ya serikali na serikali kuamuliwa kulipa fidia lakini serikali hailipi.
Je aliyeshinda na kukazia hukumu atafanyaje kutekeleza hukumu husika/kuilazimisha serikali kulipa kwani ninavyoelewa mimi mali za serikali kuu na taasisi zake au akaunti za benki hazishikwi